Mwaka Mmoja wa Neema ya Amani, Safari ya Ujenzi wa Uchumi Mpya Inaendelea.

Tarehe kama ya Leo, 2 Novemba 2020 majira ya Asubuh. Kwenye halaiki ya maelfu ya Wazanzibari na Watanzania waliokusanyika uwanja wa Aman. Dk. Hussein Ali Mwinyi aliapa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Hakika umekuwa Mwaka Mmoja wa Neema ya Amani na Umoja Wetu, Safari ya Ujenzi wa Uchumi Mpya Inaendelea.